OpenStreetMap logo OpenStreetMap

Uzoefu wangu katika teknologia ya jeografia umeniwezeha kuchangia majengo mengi katika mji wa ifakara ulipo Morogoro, Tanzania.

watu wengi hawafahamu njia hii rahisi kusaidia jamii zao hususani kwenye jamii maskini ambazo mara nyingi hu athiriwa na majanga kama mafuriko.

openstreetmap ni moja wapo wa jukwaa ambazo humpa mtu uwezo wa kuchangia kwa kuchora ramani za maeneo tofauti kama nyumba na barabara. Kupitia jukwaa hili watu tofauti katika kila fani hutumia taarifa hizi kusaidia jamii hizi.

nitaendelea kutumia OSM kuwezesha faida hizi kwa jamii zetu, wewe je?

Location: Lipangalala, Ifakara Town, Mkoa wa Morogoro, Coastal Zone, Tanzania
Email icon Bluesky Icon Facebook Icon LinkedIn Icon Mastodon Icon Telegram Icon X Icon

Discussion

Comment from Erick tamba on 4 November 2021 at 18:19

🌎🌎🌎🌎

Comment from pedrito1414 on 8 November 2021 at 07:57

Endelea na kazi nzuri!

(I hope that google translation is correct! It is supposed to say Keep up the good work!!

Comment from Erick tamba on 8 November 2021 at 16:51

☺️☺️Sure google translate is correct, Means alot to me pedrito1414. Thank you 🌏

Log in to leave a comment